Extraordinary
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 541
- 178
Ugali bamia na nyanyachungu uwa nainjoy sana nikila
ukienda toi vp?
ni kweli...........
mama angu anapenda nyanyachungu ile mbaya ye hata kila siku ale mwaka mzima haon shida
hapana zinatengeneza....
Watu wengi wanasema ukila sana hizo unaweza fungua dawasco ikulu