Unapendelea chakula gani?

Unapendelea chakula gani?

Ugali na nyama choma yeyote ile na mlenda(lidelele). Tena huku kwetu sahizi bamia zipo kibao na majani ya maboga. Ngoja nikakate mahindi nichome niweke tumbo sawa.
 
aww me napenda ugali dagaa,walioungwa na nazi..noma sana
 
Back
Top Bottom