Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
5,875
Reaction score
3,112
Mambo wadau ,
Hope ni wazima
Hii forum mpya nimeipenda, big up Jf
Sasa tupieni hapa style za viwalo vyenu.

Like huwa unavaa nini ndo unatoka chicha,yani uvaaji wako upoje upoje hivii ukitoka kwenda sehemu
Unamechisha,simple, makorokoro meengi auu?.

Elezea mtoko juu hadi chini,siku za kazi, weekends, harusini msikitini,kanisani,shuleni msibani nk nk
Mie napenda kuvaa simple tu, labda kigaun hvi au top na skirt au jeans,sipendi vtu vingi sanaaa mara shimizi,gauni koti na scarf juu akuu.

Napenda niwe comfortable, nguo inayoendana na mwili na staha hasa km naenda job au sehemu za watu wengi.

Usiku kutoka napenda nguo fupi,kwenye sherehe napenda gauni ndefu nk.

Wewe je!
 
raba, jeans plus tShirt au shati kali, simple like that!
 
katika vitu napenda ni kumuona mwanaume kapendeza wooow nakodoa macho balaa raba jeans coti ya suti na anukie utamu ahahahaha si wale wanaovaa boxer wiki tatu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…