Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Sawa sista..Nimeelewa
 
Nina mashati yangu ma-3 ya kung'aa yale (yellow, red, na maroon). Nina suruali pair 2 za marinda. Nina mkanda flani una 'bakol' ya 50 Cent. Soksi nyeusi pair 2. Chini huwa nina safari boots. Hapo ni formal, na casual humo humo. Nikitupia humo, utafikiri Akon ndio katoka uchagani kafika mjini.
Teh teh..Ntakuja kugongea bro
 
gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Umesahau chupi misschagga!
 
J's on my feet (you know it)[emoji7]
So get like me
61ab324ccb186a3b8a01f8d936df5655.jpg
"..Kavaa jeneza sasa"
 
Gauni jekundu na viatu.virefu....inapendeza

I love this outfit..Color yake jinsi ilivyo .. Ni unique very unique...( sio wote wajisikia comfortable kwa kuvaa hivi , ila kwangu ni moja ya fashion zangu kwa closet. ) ..Girl napenda Sana.. Dear hujakosea. Perfect, perfect.. Napenda any unique cloth haswa dresses.. Nguo inayoendana na shape yangu , inayofit straight, kutoka juu hadi baada ya hips then kama inatakiwa kujimwaga ijimwage chini .... .. Outfits zote yaani acha nirudie the same cloth ila nisikose my High heels please...... Yaani high heels lazima ziwepo... Ni ugonjwa wangu kwa kweli... Hata nikipanda daladala nitazibeba kwa mfuko nikifika ninakoenda nitavaa high heels zangu na kuweka flat shoes kwa bag. . Thanks.
 
Usisahau ombi langu la kukusindikiza siku ukipiga that red dress.......
 
Back
Top Bottom