lucky guy...........
Yes He is .. Thank you dear ... Thanks..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lucky guy...........
Mwili ulikufa ganzi for few minutes...
Sawa sista..Nimeelewagauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Teh teh..Ntakuja kugongea broNina mashati yangu ma-3 ya kung'aa yale (yellow, red, na maroon). Nina suruali pair 2 za marinda. Nina mkanda flani una 'bakol' ya 50 Cent. Soksi nyeusi pair 2. Chini huwa nina safari boots. Hapo ni formal, na casual humo humo. Nikitupia humo, utafikiri Akon ndio katoka uchagani kafika mjini.
Asante kakaSawa sista..Nimeelewa
Chupi umesahau ujavaa mwallu...!gauni fupi
Linaloshika mwili
Na viatu vifupi
Saa
Heleni
Clutch
Basi
Gauni jekundu na viatu.virefu....inapendezaHizi ndio baadhi ugonjwa zangu .. Thanks ..
Teh teh..Ntakuja kugongea bro
Umesahau chupi misschagga!gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Chupi inategemea na nguoUmesahau chupi misschagga!
Tabia yako mbaya ata kunishukuru kwa kukumbusha hamna?? Utamuudhi kaboom mtindo wako wa kutopenda kuvaa chupi??Chupi inategemea na nguo
Usimwambie nitakuwa navaa lohTabia yako mbaya ata kunishukuru kwa kukumbusha hamna?? Utamuudhi kaboom mtindo wako wa kutopenda kuvaa chupi??
"..Kavaa jeneza sasa"J's on my feet (you know it)[emoji7]
So get like me
![]()
Gauni jekundu na viatu.virefu....inapendeza
Usisahau ombi langu la kukusindikiza siku ukipiga that red dress.......I love this outfit..Color yake jinsi ilivyo .. Ni unique very unique...( sio wote wajisikia comfortable kwa kuvaa hivi , ila kwangu ni moja ya fashion zangu kwa closet. ) ..Girl napenda Sana.. Dear hujakosea. Perfect, perfect.. Napenda any unique cloth haswa dresses.. Nguo inayoendana na shape yangu , inayofit straight, kutoka juu hadi baada ya hips then kama inatakiwa kujimwaga ijimwage chini .... .. Outfits zote yaani acha nirudie the same cloth ila nisikose my High heels please...... Yaani high heels lazima ziwepo... Ni ugonjwa wangu kwa kweli... Hata nikipanda daladala nitazibeba kwa mfuko nikifika ninakoenda nitavaa high heels zangu na kuweka flat shoes kwa bag. . Thanks.
Let me keep quiet .. I can see someone is up to something else , looh .... .Thanks...Usisahau ombi langu la kukusindikiza siku ukipiga that red dress.......
convo closed...........Let me keep quiet .. I can see someone is up to something else , looh .... .Thanks...