Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Nina mashati yangu ma-3 ya kung'aa yale (yellow, red, na maroon). Nina suruali pair 2 za marinda. Nina mkanda flani una 'bakol' ya 50 Cent. Soksi nyeusi pair 2. Chini huwa nina safari boots. Hapo ni formal, na casual humo humo. Nikitupia humo, utafikiri Akon ndio katoka uchagani kafika mjini.