CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kimshono kimetulia hiko, wale wapenzi wa vijigauni ibieni.... Mie wa kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwana FA aka Binam.Hata ofisini?? Tshirt na jeans haikatai mtu aisee hata uvae oversized
Uwiiiiiii u kill me woooo(in Nigeria voice)Muda wa kazi; Cardet ya khaki au brown na shati la mikono mifupi lenye draft. Viatu viwe simple rangi ya brown au nyeusi.
Muda wa outing; Tishirt nyeupe na jeans ya light blue na sneakers au sandals.
Nikiwa home ni mwendo wa tshirt nyepesi na pensi.
Nimeitafuta hii post hadi nimeipata, kuna binti nimemuona kaingia kanisani yaani kapiga gauni kama hili OMG! She is black beauty nice legs......inabidi leo niingie kanisani kwa kweli!![]()
Ugonjwa wanguuuu........
mi na surauali zangu zenye 'celebration' nne nne na mashati mchele mchele ngoja nikae kimya!
Casual: Buscemis for kicks; True Religion jeans; The Kooples polo shirt.
I love the brand!, mucho dinero pia. Great taste that you have!
Hahaha....True Religion jeans are the best.
And the good thing is...if I want a new pair I just go straight to their store😀.
No fake zone.....
But as you already know...they are not on the cheap side, either.
usikae kimya mkuu tupo wengi sema mi celebration mbilili na chini iwe na turnup. kiatu cha ngozi kisiwe na kamba, juu napenda shati la mistari ya kushuka pia, naweza kuongeza koti la suti au sweta nabeba na mwamvuli🙂. hapo comfortable sehemu yoyote. jeans na raba tupo mbalimbali.mi na surauali zangu zenye 'celebration' nne nne na mashati mchele mchele ngoja nikae kimya!
Huishi vituko wewe eti kakalio katoke[emoji23]gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
UmenikoshaMuda wa kazi; Cardet ya khaki au brown na shati la mikono mifupi lenye draft. Viatu viwe simple rangi ya brown au nyeusi.
Muda wa outing; Tishirt nyeupe na jeans ya light blue na sneakers au sandals.
Nikiwa home ni mwendo wa tshirt nyepesi na pensi.