Bibiharusi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2025
- 386
- 431
πππSimu yangu haina sauti
Unasemaje simu na haina sauti .Simu yangu haina sauti
Utoto huu na tushakubaliana kwamba haitakiwi kusikiliza nyimbo za kuonewa huruma...Amore by Baby Madaha.
UtotoVibration kwangu inanitosha nimejikuta sipend kelele ovyo ovyo
Mara nyingi naweka zile bongo flava ya kitambo halafu nabadi Kila mara kwa mfano kesho ringtone yangu itakuwa baby Candy ya Dully Sykes.Japo ni utoto ila tachangia hv hvo..
Mi nyimbo yangu ya kuitia ni ya hawa watu wawili
1 Raptcha 48 bars
2 Dizasta tribulation
Vibration utoto? ππ Siwez weka milio kwenye simu yaan ni siwezUtoto
πππSisi wenye mikopo hata vibration hatutaki mioyo inaenda mbio muda wote..!!
Au niweke ile ya Bando MC inaitwa kunyayua maikiUtoto huu na tushakubaliana kwamba haitakiwi kusikiliza nyimbo za kuonewa huruma...
Badili weka nyimbo ya 20parcent bange bange.... Ilisababisha ....
Mi mbili tuu zile.zile ila kuna mda naweka vibrationMara nyingi naweka zile bongo flava ya kitambo halafu nabadi Kila mara kwa mfano kesho ringtone yangu itakuwa baby Candy ya Dully Sykes.