Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ndo kitu gan
Kuna sisi simu zetu zinaita ovyo Kila wakat Sasa mda mwingine ni kero sio kwangu hata watu wanaonizunguka
Basi huo ugonjwa unao kabisa......
Sasa kuna mda vibration uwezi sikia mkuu..
Ishu kama hizo una solve vipi happ
 
Mmh simu zetu za Tecno zinavyo vibrate kama tetemeko usisikie aroooo Tena inakutetemesha πŸ˜‚πŸ˜‚
Haina tofauti na trakta...
Sasa mimi ile hali ya simu ku vubrate inakuwa ina niathiri yaani naweza hisi simu ina vibrate kumbe walaaa..

Hapo ndo tunapata kitu kinaitwa phantom vibration syndrome.. ni bora niweke silence au rington ila vibration hapana..

Pia vibration ina mchezo wa kupunguza nguvu za kiume hii taelezea katika jukwa ala tiba...
 
Acha ujinga we fala kweli..
Hiyo nyimbo ya jamaa anasema nataka kunya.. kunyanya maiki...

Wee unataka nionekane mi wa hivyo humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha πŸ˜‚.
Ninachojua ni kwamba jamaa amesema nataka kunya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…