Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,025
Kama huna nguvu huna tuHaina tofauti na trakta...
Sasa mimi ile hali ya simu ku vubrate inakuwa ina niathiri yaani naweza hisi simu ina vibrate kumbe walaaa..
Hapo ndo tunapata kitu kinaitwa phantom vibration syndrome.. ni bora niweke silence au rington ila vibration hapana..
Pia vibration ina mchezo wa kupunguza nguvu za kiume hii taelezea katika jukwa ala tiba...
Nimekachukua🤣Mimi nayotumia sijui jina, nilisikia kwenye tamthilia ya kituruki inaitwa kara sevda, kuna jamaa anaitwa Emir alikuwa anaitumia kama ringtone yake
Stress mingi hatuhitaji keleleRingtone na Majukumu vina husiana vip
Hiyo vibration sio kelele?Stress mingi hatuhitaji kelele
Kama uamini shika simu yako alafu iweke kwenye mshedede alafu washa vibration...Kama huna nguvu huna tu
Mhm kumekucha🫣🫣Kama uamini shika siklmu yako alafu iweke kwenye mshedede alafu washa vibration...
Ukiweza dindisha niite mbwa
Jamaa anajifanya haelewiMhm kumekucha🫣🫣
hiyo ringtone naikubali sana ipo unique 😃😃Nimekachukua🤣
Apo nadhani kakuelewaJamaa anajifanya haelewi
Kuna watu wanaelekezwa alafu wanaleta ujuajiApo nadhani kakuelewa
Hellow 🙂Vibration kwangu inanitosha nimejikuta sipend kelele ovyo ovyo
Ujue hiyo silence mode there is something behindNishasahau kama kuna Ringtone
Nimeweka silence mode
Nimependa☺️Ninazo zaidi ya kumi huwa nafanya kuswitch tu, ila kwa sasa ni hall of fame ya the script ft will.i.am (instrumental), ila kiujumla ringtones zangu nyingi huwa ni edms tu bila vocals
Za marehemu Avicii zinakosa kweli hapoNinazo zaidi ya kumi huwa nafanya kuswitch tu, ila kwa sasa ni hall of fame ya the script ft will.i.am (instrumental), ila kiujumla ringtones zangu nyingi huwa ni edms tu bila vocals