Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

Mmh makubwa kumbeeee
 
Za marehemu Avicii zinakosa kweli hapo
Hahaha hizo huwa napenda kuzisikiliza tu mkuu siyo kuweka kama ringtones, jamaa alikuwa na nyimbo nzuri sana my best mpaka leo ni the nights na wake me up, ringtones zangu nyingi ni hizi za kina Elektronomia, Jarico, Alan Walker, Jim Yosef, et al
 
Samsung_over horizon original tone ile ya Samsung s3
Aise kumbe tuko wengi mimi kuna over the horizon kama mbili hivi nazikubali kwenye samsung za zamani huwa nazitumia mara moja moja, hiyo S3 ilikuwa na ringtone mbili kama sikosei kuna moja iko fast nyingine kama iko slow hivi, sasa mimi naikubali hiyo ambayo iko fast halafu kuna nyingine ilikuwa kwenye J7 yenyewe iko slow zaidi yani nilizitafuta hadi nikazipata
 
Ile ringtone inakupa nostalgic fulani mixer kama adventure hivi siwezi elezea sana ila,ile ringtone naipenda sana
 
Kwa faida ya member naziweka hapa πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…