Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Kwani akiwa badoo k inapotea?Niaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa na ushirikiano nikamuomba namba. Nikapewa namba bhana... Ile kuhakikisha sijapewa plate number nikapiga likaja jina Sarah Dsm Badoo. π³ππ.. Kweli ikaita akasema nimeona namba yako basi utanipigia. Nika nimepotezea ishu ya Badoo basi si unajua warembo wa mjini ni kama Mayatima omba omba... Asubuhi iliyofuata nikaambiwa nina njaaa na ndani kwangu kesi imekata. Nikajiongeza huyu anataka hela, nikamwambia ngoja nikutumie hela ukaweke Gesi upike sawa. Kabla sijatulia simu ikaingia True caller inasoma Sarah dodoma Tinder... π³ππ Nikajua atakua huyu demu alonipa namba. Bhana kupokea kweli ni yeye ananiambia usitume kwenye namba ile tuma kwenye hii kule na daiwa songesha. Nikakubali nikamtumia hiyo hela, attention kwangu ikaomgezeka nikaanza kuitwa my mara Babe mara Mume. ππ
Wataalam wa hii mitaa, Ungekua wewe ungeendelea demu yupo Badoo na Tinder kugawa mbunye au nipige chini ??
Yaan mie mwanaume akianza na pigo za mie mtoto wa kiume nachoka kabisa.Tatizo ni hapo, wee ni mtoto wa kiume, na sio mwanaume, means hata uvulana huna. Lol
Poleeeee.
Unalipia kiasi gani kwa true caller mkuuNiaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa na ushirikiano nikamuomba namba. Nikapewa namba bhana... Ile kuhakikisha sijapewa plate number nikapiga likaja jina Sarah Dsm Badoo. π³ππ.. Kweli ikaita akasema nimeona namba yako basi utanipigia. Nika nimepotezea ishu ya Badoo basi si unajua warembo wa mjini ni kama Mayatima omba omba... Asubuhi iliyofuata nikaambiwa nina njaaa na ndani kwangu kesi imekata. Nikajiongeza huyu anataka hela, nikamwambia ngoja nikutumie hela ukaweke Gesi upike sawa. Kabla sijatulia simu ikaingia True caller inasoma Sarah dodoma Tinder... π³ππ Nikajua atakua huyu demu alonipa namba. Bhana kupokea kweli ni yeye ananiambia usitume kwenye namba ile tuma kwenye hii kule na daiwa songesha. Nikakubali nikamtumia hiyo hela, attention kwangu ikaomgezeka nikaanza kuitwa my mara Babe mara Mume. ππ
Wataalam wa hii mitaa, Ungekua wewe ungeendelea demu yupo Badoo na Tinder kugawa mbunye au nipige chini ??
πππππ hapo sasa.Yaan mie mwanaume akianza na pigo za mie mtoto wa kiume nachoka kabisa.
Yaan na midevu yako bado unajiita mtotoπ
App ya kukusaidia kutambua Jina halisi la mpigaji simuTrue caller ndio ikoje?
RUN FOREST RUNNiaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa na ushirikiano nikamuomba namba. Nikapewa namba bhana... Ile kuhakikisha sijapewa plate number nikapiga likaja jina Sarah Dsm Badoo. π³ππ.. Kweli ikaita akasema nimeona namba yako basi utanipigia. Nika nimepotezea ishu ya Badoo basi si unajua warembo wa mjini ni kama Mayatima omba omba... Asubuhi iliyofuata nikaambiwa nina njaaa na ndani kwangu kesi imekata. Nikajiongeza huyu anataka hela, nikamwambia ngoja nikutumie hela ukaweke Gesi upike sawa. Kabla sijatulia simu ikaingia True caller inasoma Sarah dodoma Tinder... π³ππ Nikajua atakua huyu demu alonipa namba. Bhana kupokea kweli ni yeye ananiambia usitume kwenye namba ile tuma kwenye hii kule na daiwa songesha. Nikakubali nikamtumia hiyo hela, attention kwangu ikaomgezeka nikaanza kuitwa my mara Babe mara Mume. ππ
Wataalam wa hii mitaa, Ungekua wewe ungeendelea demu yupo Badoo na Tinder kugawa mbunye au nipige chini ??
Falaaa ππ. Ulitaka nianze na nini ??Yaan mie mwanaume akianza na pigo za mie mtoto wa kiume nachoka kabisa.
Yaan na midevu yako bado unajiita mtotoπ
Hivi hii inakuwa imelishwa taarifa au vip maana sijaelewa huwa naisikiaga tu sijawahi itumiaApp ya kukusaidia kutambua Jina halisi la mpigaji simu
Hebu niambieni tinder nin?Tatizo ni hapo, wee ni mtoto wa kiume, na sio mwanaume, means hata uvulana huna. Lol
Poleeeee.
Mie hata sijui.Hebu niambieni tinder nin?
Muogope Mungu acha uongoMie hata sijui.