Unapewa namba na mrembo kuisave True caller inaitambua ...Tinder alfu ya pili ....Badoo...Utaendelea naye ?

Unapewa namba na mrembo kuisave True caller inaitambua ...Tinder alfu ya pili ....Badoo...Utaendelea naye ?

Ukiacha kukutana nae siku ya kwanza na kuomba hela ya gesi siku ya pili, pia ushajihakikishia Kwa truecaller na Tinder kuwa Demu ni mpambanaji.
Na pia anaendaga Dodoma vipind fulan na fulan kutafuta washua.

Ni Risk kubwa sana Kama ukienda nae.

Na Hapo kwa sim yake ana wanaume kama 30 wakupigwa vizinga, anaetoa dau kubwa ndio atakula nyama mara nying zaid.

Yann hii bro, mkaushie apite kushoto.
 
Niaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa na ushirikiano nikamuomba namba. Nikapewa namba bhana... Ile kuhakikisha sijapewa plate number nikapiga likaja jina Sarah Dsm Badoo. 😳😂😂.. Kweli ikaita akasema nimeona namba yako basi utanipigia. Nika nimepotezea ishu ya Badoo basi si unajua warembo wa mjini ni kama Mayatima omba omba... Asubuhi iliyofuata nikaambiwa nina njaaa na ndani kwangu kesi imekata. Nikajiongeza huyu anataka hela, nikamwambia ngoja nikutumie hela ukaweke Gesi upike sawa. Kabla sijatulia simu ikaingia True caller inasoma Sarah dodoma Tinder... 😳😂😂 Nikajua atakua huyu demu alonipa namba. Bhana kupokea kweli ni yeye ananiambia usitume kwenye namba ile tuma kwenye hii kule na daiwa songesha. Nikakubali nikamtumia hiyo hela, attention kwangu ikaomgezeka nikaanza kuitwa my mara Babe mara Mume. 😂😂
Wataalam wa hii mitaa, Ungekua wewe ungeendelea demu yupo Badoo na Tinder kugawa mbunye au nipige chini ??
Kwani ulijua atakuwa bikra au unajua akijisajiri kwenye mitandao hiyo ndio malaya zaidi ya wengine? Kijana acha utoto, kama unataka kula wewe kula usichunguze sana maana hakuna na hutapata cha pekeyako. Hata makaburi tuu yapo ya pamoja sembuse huyo? Wewe ongeza umakini tuu hata kwa utakayekutananae kanisani au msikitini ni walewale tuu.
 
We ukikuta mwisho ina Extension Telegram Bitc* si utapagawa
 
Kwani Wewe Mtoto Wa Kiume Ulidhani Badoo Na Tinder Ni Kwa Ajili Ya Mbuzi,,Au Ng'ombe?
 
Back
Top Bottom