Unapewa namba na mrembo kuisave True caller inaitambua ...Tinder alfu ya pili ....Badoo...Utaendelea naye ?

Ukiacha kukutana nae siku ya kwanza na kuomba hela ya gesi siku ya pili, pia ushajihakikishia Kwa truecaller na Tinder kuwa Demu ni mpambanaji.
Na pia anaendaga Dodoma vipind fulan na fulan kutafuta washua.

Ni Risk kubwa sana Kama ukienda nae.

Na Hapo kwa sim yake ana wanaume kama 30 wakupigwa vizinga, anaetoa dau kubwa ndio atakula nyama mara nying zaid.

Yann hii bro, mkaushie apite kushoto.
 
Kwani ulijua atakuwa bikra au unajua akijisajiri kwenye mitandao hiyo ndio malaya zaidi ya wengine? Kijana acha utoto, kama unataka kula wewe kula usichunguze sana maana hakuna na hutapata cha pekeyako. Hata makaburi tuu yapo ya pamoja sembuse huyo? Wewe ongeza umakini tuu hata kwa utakayekutananae kanisani au msikitini ni walewale tuu.
 
We ukikuta mwisho ina Extension Telegram Bitc* si utapagawa
 
Kwani Wewe Mtoto Wa Kiume Ulidhani Badoo Na Tinder Ni Kwa Ajili Ya Mbuzi,,Au Ng'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…