Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing.
Haikua rahisi kucopy na hizi kazi but as time goes on unaona tu kumbe mambo ni rahisi tu,so nikaja nikajiona kazi ninayofanya inanipa uhuru sana hivyo badala ya kuutumia huo uhuru vibaya better nitafute kitu kingine cha kufanya.
Bahati nzuri sehemu ninayokaa kuna shule flani ya secondary ilikua na uhaba wa walimu wa Commerce na bookkeeping, nikaomba niwe part time teacher wa masomo hayo husika,wakanikubalia mshahara tulianza nao ni laki 5 ila saivi wameniongezea nachukua laki 7.
Kuna bonus ndogo ndogo kama vile kila A ya Necta ya masomo yangu wananipa 20k,kila B wananipa 15k,mock nayo wanatoa 15k kwa 10k na mwaka huu nimezikomba hatari.so kiukweli naweza sema nayamudu maisha kiaina against all odds.
Ebu kila mmoja wetu nae ajaribu kushare side hustle yake hapa wenzetu nao wajifunze kuliko kutegemea kipato kutoka sehemu moja tu.