Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

Mimi kila saa 11 jioni mpaka saa 4 usiku siku za kazi huwa napiga uber jumamosi na jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 10 jioni,sikosi hivyo vielfu 50 vya mafuta na kunywa bia mbili tatu.
kabla ya saa 11 gari anakua nayo mtu mwingne au?
 
Uzi mzuri sana naimani watu watatoa shule sana na wengine tujifunze, binafsi sina side hustle
Na mimi sina side hustle another meaning of side hustle ni namna fulani ya kuishi kiwiziwizi
 
Back
Top Bottom