nampa talaka! au ajabu mwanamke kutoa talaka? maana mpaka sasa nahisi tu naibiwa cjakutana na hata mwizi mmoja walau nifahamu wakoje, wanatofauti gani na mm!
M ningempa mwanaume mwenzangu ahsante kwa kunisaidia sijui hili wazo wana jf
hehehe huyu kijana kama yupo sirias basi ni mtu mmoja muhimu wa kupanga nae urafiki, inaonekana anaweza akakuzawadia hata mke wake siku anazofurahi hehehehehehAhsante ipi? mbona unanitia mashaka hapo? Yaani mkeo ampe na wewe umpe? LOL!
hehehe huyu kijana kama yupo sirias basi ni mtu mmoja muhimu wa kupanga nae urafiki, inaonekana anaweza akakuzawadia hata mke wake siku anazofurahi heheheheheh
Kwa wazee wa infidelity kama sisi Ni Marufuku:
1. Kwenda gesti ambazo si self contained
2. Kukutana na mkeo kwenye nyumba za uasherati
3.Kuingia gesti kwa mlango wa mbele
4.Kufungua mlango wa chumba cha gesti kabla hujachungulia kwenye tundu la funguo (huku ukisikiliza foot steps)
5. Kuangalia nyuma au pembeni mara unapotoka kwenye lango wa chumba cha gesti
6. Kuongozana na mtenda dhambi mwenzio (mwanamke anawahi kuingia na mwanaume anawahi kutoka)
Ukizingatia yote hayo, kama wewe ni mzee wa infidelity, na mkeo naye akawa mama wa infidelity..... Haitakaa itokee mkafumaniana gesti. ASILANI:lie::lie:
Ahsante ipi? mbona unanitia mashaka hapo? Yaani mkeo ampe na wewe umpe? LOL!
The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:
Chrispin (Today)
Kwa wazee wa infidelity kama sisi Ni Marufuku:
1. Kwenda gesti ambazo si self contained
2. Kukutana na mkeo kwenye nyumba za uasherati
3.Kuingia gesti kwa mlango wa mbele
4.Kufungua mlango wa chumba cha gesti kabla hujachungulia kwenye tundu la funguo (huku ukisikiliza foot steps)
5. Kuangalia nyuma au pembeni mara unapotoka kwenye lango wa chumba cha gesti
6. Kuongozana na mtenda dhambi mwenzio (mwanamke anawahi kuingia na mwanaume anawahi kutoka)
Ukizingatia yote hayo, kama wewe ni mzee wa infidelity, na mkeo naye akawa mama wa infidelity..... Haitakaa itokee mkafumaniana gesti. ASILANI:lie::lie:
Kwa wazee wa infidelity kama sisi Ni Marufuku:
1. Kwenda gesti ambazo si self contained
2. Kukutana na mkeo kwenye nyumba za uasherati
3.Kuingia gesti kwa mlango wa mbele
4.Kufungua mlango wa chumba cha gesti kabla hujachungulia kwenye tundu la funguo (huku ukisikiliza foot steps)
5. Kuangalia nyuma au pembeni mara unapotoka kwenye lango wa chumba cha gesti
6. Kuongozana na mtenda dhambi mwenzio (mwanamke anawahi kuingia na mwanaume anawahi kutoka)
Ukizingatia yote hayo, kama wewe ni mzee wa infidelity, na mkeo naye akawa mama wa infidelity..... Haitakaa itokee mkafumaniana gesti. ASILANI:lie::lie:
hehehe huyu kijana kama yupo sirias basi ni mtu mmoja muhimu wa kupanga nae urafiki, inaonekana anaweza akakuzawadia hata mke wake siku anazofurahi heheheheheh
hehehe kamanda kumbe upo hai? ni kitambo sijashuhudia post zako au unahubiri kupitia PM?, kama hajaowa anaweza hata akakuzawadia rafiki wake wa kike , ukisoma post yake namba 23 peji ya pili ya huu mjadala utagundua kuwa jamaa ni mkarimu zaidi ya baba teresa.What if kama hajaoa?
hehehe kamanda kumbe upo hai? ni kitambo sijashuhudia post zako au unahubiri kupitia PM?, kama hajaowa anaweza hata akakuzawadia rafiki wake wa kike , ukisoma post yake namba 23 peji ya pili ya huu mjadala utagundua kuwa jamaa ni mkarimu zaidi ya baba teresa.
Nipo kiongozi! Ila kwa leo mimi ni ''fast learner''...nahisi huyo jamaa anaweza kuwa kwenye kundi la akina Boflo! Au ???
kusisitiza hii post yako! jamaa kaanzisha sredi ya kujadili makalio ya wanaume, sijui umeipitia? heheheh acha tuuchune tu bana. invizibo siku hizi mara anakuja na sheria ya "gender calling" anakupeleka segerea bila dhamana.
- Kwa utulivu kila mtu akavae nguo
- Kisha mtachukua usafiri wa pamoja wa kwenda nyumbani
- Mkifika nyumbani inabidi kutafakari kwa pamoja mustakabali wa ndoa
Duh! Hii mtu unaweza ukafa kifo cha ghafla aisee! Eniwei, nadhani kama wote mmeshafikia hatua hiyo ama mmoja wenu ndio kafikia hatua hiyo basi tena, hakuna penzi wala heshima hapo! Hatua za kuchukua ni kwenda ku-file petition ya dissolution of marriage ile mje kuwa huru zaidi na kila mtu afanye apendacho kwa uhuru wake bila kufungwa na dhamiri. Hakuna haja kabisa ya ku-react violently or hysterically.
Kusema eti mtasameheana na kuendelea kupendana mtakuwa mnayeyushana tu kwa maoni yangu. Mngekuwa mnapendana msingefanyiana hivyo. Kama mngeamua kufanya hivyo mngeambiana kwani siku hizi kuna mambo hadi ya open relationshiop - kwamba unamega na kumegwa nje na mwenzako anajua na hakuna cha green eyed monster wala nini.