Duh! Hii mtu unaweza ukafa kifo cha ghafla aisee! Eniwei, nadhani kama wote mmeshafikia hatua hiyo ama mmoja wenu ndio kafikia hatua hiyo basi tena, hakuna penzi wala heshima hapo! Hatua za kuchukua ni kwenda ku-file petition ya dissolution of marriage ile mje kuwa huru zaidi na kila mtu afanye apendacho kwa uhuru wake bila kufungwa na dhamiri. Hakuna haja kabisa ya ku-react violently or hysterically.
Kusema eti mtasameheana na kuendelea kupendana mtakuwa mnayeyushana tu kwa maoni yangu. Mngekuwa mnapendana msingefanyiana hivyo. Kama mngeamua kufanya hivyo mngeambiana kwani siku hizi kuna mambo hadi ya open relationshiop - kwamba unamega na kumegwa nje na mwenzako anajua na hakuna cha green eyed monster wala nini.