Unapitia Maisha magumu ebu jifunze kwa huyu kiumbe

Hivi hilo tunda lina nini ndani yake au Lina faida gani...!!???

Maana mwanzo wa filamu hadi mwisho analikimbiza hata likiingia kwenye theluji yuko radhi agande.

Huyu sio kama shida anajitakia mwenyewe .......🤔🤔🤔🤔
Na hayakogo mengi haya matunda eeehhhh...... 😛
 
ila jamaa ata abondwe vip huwa hafi,,, ilipata demu yule demu akalishobokea ilo tunda daaah alivyomchenjia
 
hata katika maisha halisi anaipenda sana hiyo mbegu, ni kama paka na samaki.

mule kavishwa uhusika namna anavyotahamaki akijua yuko karibu na hiyo mbegu, huwa ana vurugwa sana.
 
huyu jamaa nayeye na wale wenzie ndio wanamuongezea kibano.
Thats Oscar, nikiicheki hii katuni jinsi wenzake wanavyompa kibano [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hiyo series inaitwaje? Nilibahatika tu kuiona kidogo kwa jilani nilikuwa na haraka nataka niitafute
 
Cha ajabu mwanangu hawezi kuangalia hiyo katuni,anaogopa hayo macho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…