Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

Ndio ubaya wa kazi ukiizoeya sana, ukikaa muda mrefu kwenye idara moja, ukikosa mbinu mpya na maarifa mapya! Hata uwe na miaka 30 bado unaweza kuonekana wa kawaida sana kuliko mwenye mwaka mmoja kazini
 
Hii kuna boss alitaka kuleta mazoea, hajui chochote kichwa kitupu lakini kutwa kunidiss nachelewesha kazi, deadline zinapita, kazi ya kufanya watu 4+ anafosi nikomae nayo, imagine software(front end, UI na back end), Hardware(Custom Circuit na PCB design ) halafu uje Mechanical Structure. Hapo nimeajiriwa kama mechanical lakini na hayo mengine yakawa majukumu yangu, ikafikia kipindi nikawa kama mtu wa software sio Mech tena, kuajiri watu husika wanapiga chenga, nikasema shwaiiin nyinyi, siku hiyo nimeamka zangu nikatuma meseji tu siji kazini wiki hii, wiki iliyofata nikakausha walipopiga simu nikawauliza wasome meseji kama ilivyo, aliposoma nikamwambia hapo huelewi nini, meseji inasema wiki hii, akasema lakini ulituma wiki iliyopita, nikamuuliza unaweza kuthibitisha kama ni wiki iliyopita maana huenda hujaseti saa yako vizuri. Basi akajua mjuba katuchoka wakakausha.
 
Back
Top Bottom