Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

Jambo kubwa hapa ni wewe unajionaje?
Infact, Kila mtu anaweza kukuona katika namna na uelekeo tofauti na siyo lazima wote wakuone unavyojiona wewe.

Straight talk, wewe ni mtawala wa maisha yako " master of your destiny" hata katika viwango dhalili. Mtu wa hivyo mpuuzie angalia ndoto zako na mambo yanayokupa raha achana naye anakufyonza nguvu chanya (positive energy) ukizubaa utakuja kujidharau mwenyewe.

Halafu Mkuu vitu huwa ni vilevile tu " bi- polarity of the same continuum" wema au ubaya ni wema uleule katika uelekeo tofauti. Kuna uelekeo wema ni wema na kuna uelekeo wema huohuo unaonekana ni uovu.
 
Achana na hiyo kazi, fanya mambo mengine!
 
Kama ni private miaka 13 bado haujatengeneza CV na uzoefu wa kuondoka hapo na kupata kazi sehemu nyingine?
 
Back
Top Bottom