Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
1. Kwanza kabisa jua idadi ya Id zako zote.

2. Ukishazijua fahamu namna ya kuzitumia na mazingira ya kuzitumia. La sivyo zitakunganishwa na utajulikana.

3. Chelewa kugawa mawasiliano ya nje ya JF kwa unayemtongoza. Unaweza kukutana na mpenzi wako.

4. Uwe na lugha nyingi kuendana na aina ya ID. Nitatolea mfano Daby anapenda kutumia neno aseeh na mwandiko fulani.

Ukijichanganya miandiko ikafanana umeliwa.

5. Jiandae kwa lolote maana siku mkigombana anaweza kukuanika hapa.

6. Usiwe na wivu... mpenzi wako ataitwa bebi na wadada/wababa wa humu.

Wajuvi ongezeeni zingine.

NB: muda mwingine unaweza kuamua kujianzishia uzi kwa ID ya kike\kiume kumrusha roho mpenzi wako ajue competition ipo.
 
Kama ni CV kipengele cha job experience umekitendea haki

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mapenzi ni mapenzi tu, ukitumia ID nyingi au moja. Chagua mmoja tulia nae na mjuze ID zako zote, na nywila mpe. Huko ndio kupendana.
Oouh...bila shaka watazingatia hili mkuu.

Umesema na nywila eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…