Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawai kufanya kazi yoyote humu Jf labda nipelekwe training ya wiki tatu kupata uzoefu... hahaaaHauna uzoefu wewe?
Mkuu hebu elezea zaidi tafadhali, maana kuna mbaba humu namzimikia nina mpango wa kumtongoza.Kwenye mapenzi ya kutokea humu jiandae kisaikolojia lolote linatokea..
Nitongoze na zote basi, nakuahidi sitokuangusha.Za kukutongozea.
Na ushanikubalia.
Kwahiyo siruhusiwi kucheka [emoji40][emoji40]Unacheka nini?
Daaaahhhh
Umenikumbusha habari za GiLeSi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani yeye domo zege@Shunie huyu mtu anahitaji training.
4. Uwe na lugha nyingi kuendana na aina ya ID. Nitatolea mfano Daby anapenda kutumia neno aseeh na mwandiko fulani.
Ukijichanganya miandiko ikafanana umeliwa.
.[/u]