Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Hapo sawa. Kwa mapenzi ya dhati mpe mpenzi wako nywila. Usimtie kihoro mpenzi wako kwa kuwa na id nyingi nyingi zenye nywila tofauti atakufa akuache mpweke.
Mkuu utasababisha vita ya dunia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…