Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Unatoa taarifa au unauliza mkuu?Mara paaap huyu anayejiita Mother Confessor kumbe ni bwana GuDume
Na huyu anayejiita Demiss ni Mshana Jr
Na huyu wa kuitwa Madame B kumbe ni Mung Chris
Na Numbisa kumbe ni Joseverest
Huyu a kuitwa Madame S kumbe ni Da'Vinci
Kumbe mtindo wa kuwa na ID nyingi halafu ukazipangia majukumu tofauti ni dili sana hapa ee....Nakupa heko kwa uzoefu.
Pita naye...
Ujue anko wangu unapata mateso makubwa sananaanza kukufikiria sasa
Sawa mama.Mnaoshinda jamiiforum msiache screenshot mtanitumia pm siku hizi nipo busy haya ndo yalikuwa mambo yangu.
Mambo yameshakuwa mengi mnatuchanganyaaaaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehtehteh...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo kwenye NB hayo mengine hayanihusu maana nna I'd moja na siwezi kubeba mpenzi Jf ikiwa ninaye mpenzi mwingine huku. Cha kuzingatia labda hiyo namba 5 na 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye nywira ni kuingilia uhuru wa vyombo vya habariMapenzi ni mapenzi tu, ukitumia ID nyingi au moja. Chagua mmoja tulia nae na mjuze ID zako zote, na nywila mpe. Huko ndio kupendana.
U domo zege? espy jamaa anakutaka huyuKupita naye so ishu mkuu ishu ni to start with..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndio umeamua kutojibu emoji yangu...?Mnaoshinda jamiiforum msiache screenshot mtanitumia pm siku hizi nipo busy haya ndo yalikuwa mambo yangu.
Mambo yameshakuwa mengi mnatuchanganyaaaaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuu😏😏😏Mara paaap huyu anayejiita Mother Confessor kumbe ni bwana GuDume
Na huyu anayejiita Demiss ni Mshana Jr
Na huyu wa kuitwa Madame B kumbe ni Mung Chris
Na Numbisa kumbe ni Joseverest
Huyu a kuitwa Madame S kumbe ni Da'Vinci