Fikiria umepiga Uchi ukautuma.Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸♀️🤸♀️
Mwalimu wa physics aliwahi sema jibu la kwanza kulifikiria au litakalo kujia ndo sahihi😁😁Nakumbuka kanuni moja nilikiwekea enzi za shule. Nikiandika jibu nikaona kama sio.lenyewe., nafuta lakin kumbe ndio lenyewe huwa naliandika hilohilo la mwanzo maana ndio sahihi.
Watanzania wengi hatupendi kusema ukweli kwa sabab ya maslah binafs.
Hii utaiona kwenye mitihani unaandika unafuta
Kwenye WhatsApp status unaweka unaondoa bahat mbaya WhatsApp gb hakuna kinachofutika
Bi mkubwa kabarikiwa kwa kweli had wanaume wakawa wanatusimanga mabinti wadogo!!Fikiria umepiga Uchi ukautuma.
Mmi nshawahi chat na jirani wa kiume, kumbe majina yalifanana tu. Yaan aibu hadi.leo.
Sometimes najifanya I don't care
Exactly 💯, ila wazee wa WhatsApp GB nawa mind😬Hio ni kweli
Wanakera sana sema wenyewe wanaona ni wajanja🤣🤣Sipendi watu wanaotumia gb WhatsApp kwakweli 😠
Kama ni kweli weka picha tujiridhishe!?Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸♀️🤸♀️
ni vizuri kujisahihishaNakumbuka kanuni moja nilikiwekea enzi za shule. Nikiandika jibu nikaona kama sio.lenyewe., nafuta lakin kumbe ndio lenyewe huwa naliandika hilohilo la mwanzo maana ndio sahihi.
Watanzania wengi hatupendi kusema ukweli kwa sabab ya maslah binafs.
Hii utaiona kwenye mitihani unaandika unafuta
Kwenye WhatsApp status unaweka unaondoa bahat mbaya WhatsApp gb hakuna kinachofutika
Nakazia😅😂Kama ni kweli weka picha tujiridhishe!?
Yani nikimjua naacha kujibu texts zake, bluetick atakazokutana nazo yeye mwenyewe ataamua asinitafuteWanakera sana sema wenyewe wanaona ni wajanja🤣🤣
Inaonyesha bimkubwa ana mambo mazuri sanaMimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status 😂😂😂😂
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! 🤸♀️🤸♀️
Utamjuaja mtu anayetumia whatsapp GB?? Kwenye official whatsapp !!Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!
Kuna mmama alipiga pic ya utupu kwa camera ya mbele na sura lake linaonekana pamoja na mpodido, akataka kumtumia mchepuko akashangaa kalituma tumbua status [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakasave, akaja kupigiwa simu na mtoto wake wa kike afute baada ya mume wa mtoto wake kuliona!!!
Sema japo mamá age go ila katuzidi had mabinti afu alivaa shanga toleo jipya hahaaaaa!! [emoji2222][emoji2222]
Mimi nikigundua una WhatsApp Gb nakublock au nafuta namba zako!!