mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Kuna sababu nyingi za kuwa burned. Sijawahi ona mtu amekua burned kwa kuto update. Juzi kati kuna jamaa zangu watatu gb ziligoma kufanya kazi kwao. Kuangalia version walikua nyuma sana kwenye 12. huko wakati sasa ivi tupo kwenye 17.57 na wakati huo ilikua 17.55. Niwapa app wakaonstall ikapiga kazi. Kuwa burned maana yake hio namba haiwezi sajiliwa na whatsapp kabisa. Sasa kuwa burned mara nyingi ni kukiuka mashart ya whatsapp mfano, kuweka settings nyingii ambazo zipo kwenye gb ila whatsapp ya kawaida hainaSikulazimishi bruh!!!
Wengi waliokuwa banned na w'app walisema tatizo lilikuwa hilo,kuchelewa ku-update kwa wakati,lakini nakosa logical kwanini usubiri hadi ikatae kabisa na bado uone ni kitu kizuri hata wenzio wakiige?