Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
jamaa yangu huyu tupa tupa kupata kuna mungu alikuwa anajiita dume la mbegu ,dangote aka bill gates. kipindi cha nyuma alikuwa na ukwasi kutokana na shughuli zake rasmi na zisizo rasmi.wengi walikuwa wanadai anauza mchanga wa almasi ( sembe/unga) sijui nini kimemsibu sasa hali yake mbaya sana hata mademu wanamkwepa maana hana alichobaki nacho zaidi ya mapumbu tu.
mimi last week nimejivutia mtoto mmoja mkali alikuwa ana mdate yeye kipindi hicho si tunakula mapene yake na mtoto Zaybe. lakini nimeona nisile kwa mbali maana jamaa amebaki kibogoyo sisi wenye meno ndo tunakula sasa kwa sound tu na kupaka grease kidogo basi ametangaza vita.mshkaji wa kita kabisa ananitangazia vita sababu ya mademu. hasa baada ya kuambiwa kuwa hata yule demu mmoja aliyekuwa anamkimbizia mzee dukuo nimedukua tayari...
wanaojiita wanaume wakitambia kuhonga wakifirisika huwa wanajaza uchungu mkubwa moyoni mwao na kuanza kuchukia wengine. mara "oooooh nilipokuwa na pesa nlikuwa nawatoa sasa sina mnanikwepa" watu tupo busy na mishe mishe kama vipi subiri nasi tufirisike uje kutukwepa. issue za kutangaziana kiama sababu ya mademu kwa ulimwengu huu wa sasa siyo kabisa. watu hawatafutani. wanatafuta pesa.
sisi wengine tutagonga mademu wazuri ila kwa utaratibu maalum.. uliyekuwa unajiita tupa tupa kupata kuna mungu.... haya subiria uzipate tena. kwa sasa acha si tule maana mademu zako wa zamani wanasema kwa sasa umebakiwa na mapumbu tu. maana hata sura ya kuvutia hukuwa navyo sasa mademu wanagundua kuwa hukuwa na mvuto. ama kweli mvuto pesa... zikiisha utateswa.