Unapochat na girlfriend wako kwa staili hii

No comment[emoji106] [emoji106]
 
Naunga mkono hoja.
Ila tunapaswa kuwa wabunifu katika mapenz yetu ili wakati wote yaonekane ni mapya.

Na hili si jukumu la mmoja bali ni la wote ili kutengeneza penzi la mvuto.

MAPENZI MUBASHARA.
[emoji108][emoji108]mapenzi mubashara kabisa ....
 
ila kweli MTU ukiwa na shida kubembeleza ni muhimu.....ukishapata sweetie zinapungua....!
Hapo umenena jmn wanaume mkioa wengi wen u kum bembelZA MKEO SHIDA HADI .. UKITAKA K[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji124]
 
KWAHIYO WANAUME WOOTE WATAKAOONGEA HAYO MANENO MATAMU WATAKULA MZIGO?
 
Mmh umenifanya nirudi online mapema kwa haya maneno yako yaliyo adimu kwangu

Natamani ungejua ni kwa kiasi gani nilikumiss kwa kipindi chote ambacho hukuwa hewani, kazi haziendi, kila mara najaribu kuangalia kama umerudi hewani bila mafanikio.

Asante kwa kunitua mzigo wa mawazo kwa kurudi hewani, ni matumaini yangu kwamba u mzima wa afya.
 
Mwanamke wa kunipiga mizinga huwa nampa ngumu ngumu tu! hata zaidi ya ninavyochati na mshikaji wangu..!

Sio kila mwanamke anabembelezwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tupo busy na maisha na si muda wa kuchat
 
Mwanamke wa kunipiga mizinga huwa nampa ngumu ngumu tu! hata zaidi ya ninavyochati na mshikaji wangu..!

Sio kila mwanamke anabembelezwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…