STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
balida tu baharia wanguOyaaaa, mambo vepeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
balida tu baharia wanguOyaaaa, mambo vepeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio zangu hizo,Kwahiyo kwa style hio itanicost sanaUmebarikiwa mkuu Maneno mazur nayo kipaji wengine hawana ndo unakuta anaishia kukutakia asubuh njema mchana mwema na usiku anamalizia gud9t kamaliza
Kwenye mapenzi hautakiwi uchoke yaani ni mwendo wa kubalance tu yaani usichati naye sana na wala usiadimike sana na kila ukiwepo online unatakiwa uwe unatoa vitu vitamu na usijifanye unatawala sana chating sio mtu hajajibu we ushatuma mi sms mitatu na bia lazima uwe na uwezo wa kutambua lugha yake ya kimapenzi na uwe na uwezo wa kumfanya naye ajisikie huru kufunguka ,,,, mapenzi ni kama mchezo wa soka unacheza kwa akiliKumbuka morali hupungua over time,hata huyo jamaa wa kwanza kipindi anafukuzia unaweza kuta alikuwa na maneno matamu kuliko hayo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Natamani ungejua ni kwa kiasi gani nilikumiss kwa kipindi chote ambacho hukuwa hewani, kazi haziendi, kila mara najaribu kuangalia kama umerudi hewani bila mafanikio.
Asante kwa kunitua mzigo wa mawazo kwa kurudi hewani, ni matumaini yangu kwamba u mzima wa afya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante switie! ntakumiss muda ambao hautakuwepo hewan
so usikawie kurudi online sawa eh!