Unapochat na girlfriend wako kwa staili hii

Umebarikiwa mkuu Maneno mazur nayo kipaji wengine hawana ndo unakuta anaishia kukutakia asubuh njema mchana mwema na usiku anamalizia gud9t kamaliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio zangu hizo,Kwahiyo kwa style hio itanicost sana
 
Vpi mkuu wewe huwa una practise?
Au kipindi unaanza mahusiano tu?
Kiukweli ni maneno mazuri mno ktk mahusiano ila huwa hayadumu
Ahsante kwa darsa mwanana
 
Kumbuka morali hupungua over time,hata huyo jamaa wa kwanza kipindi anafukuzia unaweza kuta alikuwa na maneno matamu kuliko hayo.
Kwenye mapenzi hautakiwi uchoke yaani ni mwendo wa kubalance tu yaani usichati naye sana na wala usiadimike sana na kila ukiwepo online unatakiwa uwe unatoa vitu vitamu na usijifanye unatawala sana chating sio mtu hajajibu we ushatuma mi sms mitatu na bia lazima uwe na uwezo wa kutambua lugha yake ya kimapenzi na uwe na uwezo wa kumfanya naye ajisikie huru kufunguka ,,,, mapenzi ni kama mchezo wa soka unacheza kwa akili
 
wote hawajui kuchat.hamna kitu hapo ,mdada wa kileo humpat may b kwa dem ambaye hana competition.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…