Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dai alfu ishirini yako...! 🙂
Hatuoni matumizi ya Kodi zetu, ndo maana tupo tayari kupotezwa
Binafsi Huwa sidai risti
kama ni kukwepa kodi basi na mteja apozwe, bei iwe pungufuKodi zenyewe zinaishia mifukoni kwa walamba asali
Akawalipue?.
INategemea kama umefika bei ya mwisho kuuzwa haipozeki tena?kama ni kukwepa kodi basi na mteja apozwe, bei iwe pungufu
Kuna wakati hii nchi unaona bora ukwepe kodi au ushirikiane tuu na wakwepa kodi maana matumizi ya hizo fedha serikalini zinatia hasira , watu wana fuja tu wabunge wanajipitishia miposho mikubwa wakati hawana kazi yeyote ya kuwachosha zaidi ya kujuchekesha na kugonga meza bungeni wakati watumishi wachini huku wanalipwa pesa kidogo sana na kazi wanayo wafanya ni kubwa sana, hizo pesa wanafuja haswaa na ndio zinatumika kuhonga wana siasa na kulipa machawa, ndio zinawalipa wanao teka watanzania wenzetu na kuwaua na kuwajeruhi , wananunua migari ya kutembelea wao ya mabilioni wakati watoto wanakaa chini na madawa hakuna , pesa zinahonga vilabu vya mipira wakati mambo ya msingi kabisa hayajitosheleI , kwakweli bora nikwepe kodi angalau itanirudia mwenyeweView attachment 3185121
Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia
unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
Kipi bora ale mtanzania mwenzio muuza duka au iende serikalini ikawalipe wasio julikana kwa kuteka na kuua watanganyika wenzio ndani ya gari la 300milion lililo nunuliwa na kodi hiyo hoyoAnanirudishia pesa yangu / narudisha bidhaa yake