Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

Mimi binafsi nikienda duka lolote huwa na bargain kwa bei ya kupewa risiti, tukifikia muafaka huwa naulizg hii bei tuliyo kubalia bila risiti itakuwa shilingi ngapi?, akinitajia nafanya malipo naondoka na mali.
Hii nchi ukiweza kukwepa kodi kwepa tu
 
Kipi bora ale mtanzania mwenzio muuza duka au iende serikalini ikawalipe wasio julikana kwa kuteka na kuua watanganyika wenzio ndani ya gari la 300milion lililo nunuliwa na kodi hiyo hoyo
Ipo hivi ili nidai risiti basi umegoma kabisa kunipunguzia bei.. mm ukishusha bei sitaki risit
 
Back
Top Bottom