Mimi binafsi nikienda duka lolote huwa na bargain kwa bei ya kupewa risiti, tukifikia muafaka huwa naulizg hii bei tuliyo kubalia bila risiti itakuwa shilingi ngapi?, akinitajia nafanya malipo naondoka na mali.
Hii nchi ukiweza kukwepa kodi kwepa tu
Kipi bora ale mtanzania mwenzio muuza duka au iende serikalini ikawalipe wasio julikana kwa kuteka na kuua watanganyika wenzio ndani ya gari la 300milion lililo nunuliwa na kodi hiyo hoyo