Unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje

sai255

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
19
Reaction score
7
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe tamaa,hata kama umefanya several times as long as unapassion ya kufanikiwa katika hilo i swear u will make it and one day it will pay u....ipo siku nakwambia litakulipa tu hata kama near friend hawakusupport dont concentrate with them,final they will appriciate u......
 
Food for thought
- Ujumbe bora wa kuanza nao siku ya leo
- Ahsante kwa ku_share nasi
 
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe tamaa,hata kama umefanya several times as long as unapassion ya kufanikiwa katika hilo i swear u will make it and one day it will pay u....ipo siku nakwambia litakulipa tu hata kama near friend hawakusupport dont concentrate with them,final they will appriciate u......
Lisemwalo lipo, sikiliza ushaur wa wenzako, utakuja kufanywa fursa wew
 
Katika haya maisha kusikiliza ushauri, maoni, kejeli na hata matusi na lugha mbaya toka kwa watu wengine ni kitu ambacho hakiepukiki. Lakini anayebeba hatima ya yote hayo ni wewe mwenyewe wala si wazazi wako wala ndugu zako wala marafiki, wala majirani. Hatima ya maisha yako ni wewe mwenyewe unavyorespond kwenye external environment ya nafsi yako. SO THE POWER TO SUCCEED OR TO FAIL COMES FROM WITHIN U! External factors sometimes acts just like catalysts in chemical reactions. A catalyst won't do anything in absence of fundamental chemical materials.So you are the fundamental chemical material in the chemical reaction, advice, opinions etc can just be catalysts to accomplish the chemical reaction in a faster manner!
 
Usiudharau mwanzo wa jambo lako lolote lile...unapofanya jambo unaloliamini usiangalie watu watalionaje,wewe pekee yako ndio una ramani ya kule unapopaona kuhusu jambo lako...im sure usikatishwe tamaa,hata kama umefanya several times as long as unapassion ya kufanikiwa katika hilo i swear u will make it and one day it will pay u....ipo siku nakwambia litakulipa tu hata kama near friend hawakusupport dont concentrate with them,final they will appriciate u......
Wewe umefanikisha lipi ambalo ata rafiki walikuwa hawa support
 
nawajua ndugu wawili ambao wote walioa familia moja ndoa hazikumaaliza mwaka zikafa ,mdogo wao akachumbia nyumba ileile alipata vita kubwa sana hadi akaamu kumchukua binti kibabe akamzalisha ,Leo hii kaka zake wanahadi ndoa nne wanaoa wanaacha ila huyu mdogo wao anamiaka kumi na ushee na mke yuleyule bila ndoa ya kanisani,umejifunza nn?
 
Back
Top Bottom