Unapofulia alafu mgeni anakutembelea, kama ni wewe utafanyaje?

Unapofulia alafu mgeni anakutembelea, kama ni wewe utafanyaje?

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako. Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta moja kwa ajili ya mgeni na ile chupa ya sprite unaijaza maji ili ukirudi uweze kumpa kampani mgeni.
Unafika sebuleni mgeni anakwambiaa fanta huwa situmii nipe hiyo sprite.

Utafanya nini?
 
Nitaitemea mate Sprite uchwara halafu nitamuangalia kama bado anaitaka au atachukua Fanta.😉😛
 
Namwambia hapa hujaja kunywa soda sema kilichokuleta
 
Nakujanayo tayari nimefungua na ipo nusu nimekunywa.
 
Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako.... Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta mojaa kwa ajili ya mgeni na ile chupa ya sprite unaijaza maji ili ukirudi uweze kumpa kampani mgeni.....
Unafka sebuleni mgeni Anakwambiaa Fanta huwa situmii nipe hyo sprite...!!

Utafanya nini!!?!?
[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Nitamwambia kua hata mimi hua situmii Fanta,na ningekua najua toka mwanzo kua na wewe hutumii basi ningeleta soda zote mbili Sprite

Lakini hakijaharibika kitu nisubiri niende dukani nikazibadili, kisha natoka na soda zote mbili yaani Fanta na Sprite fake,

Nikifika dukani naibadili ile Fanta kisha nachukua Sprite,hapo nakua na Sprite fake na Sprite Original,

Ile fake nainywa nusu na ile original nikifika mbele ya mgeni ndio namfungulia na kila mtu anakunywa Sprite yake.
 
simple sana naiangusha chupa yenye sprite uchwara ikivunjika namuambia kunywa hii fanta akigoma nakunywa mwenyewe
Hapo ndio utakua umeharibu kila kitu Mkuu, maana Soda ikimwagika hutoa povu la kuchemka! Na hiyo iliyomwagika kwa kuvunjika kwa chupa itaonekana wazi tu kua ni Maji coz haitotoa povu la kuchemka!😀😀
 
Hapo ndio utakua umeharibu kila kitu Mkuu, maana Soda ikimwagika hutoa povu la kuchemka! Na hiyo iliyomwagika kwa kuvunjika kwa chupa itaonekana wazi tu kua ni Maji coz haitotoa povu la kuchemka!😀😀
hahaha mkuu huyo sasa sio mgeni bali laboratory technician
 
Back
Top Bottom