Unapofulia alafu mgeni anakutembelea, kama ni wewe utafanyaje?

Unapofulia alafu mgeni anakutembelea, kama ni wewe utafanyaje?

Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako. Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta moja kwa ajili ya mgeni na ile chupa ya sprite unaijaza maji ili ukirudi uweze kumpa kampani mgeni.
Unafika sebuleni mgeni anakwambiaa fanta huwa situmii nipe hiyo sprite.

Utafanya nini?
Acha mawazo ya kimasikini. We believe utakua na hela nyingi..ukiamka asubuhi, unavaa, unaondoka akilini waza utapiga Bingo that day.

Trust me, mpaka unarudi ghettoni jioni lazima utakua nazo tu.
 
ha ha ha ha kweli dhiki tunajitakia tuu mgeni haji mpaka kuwe na soda?
 
kwanini usimuulize mgeni wako anakunywa soda gani kabla hujaenda kununua hiyo soda
mambo mengine kujitakia tu
Na hilo ndo la busara..huwezi ukakurupuka kununua kitu ambacho sio choice ya mgeni. Au kwanini asikimbie fasta dukani kwenda kubadilisha...
 
Back
Top Bottom