mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
Mkuu ndo ishatokeaa unafanyajkwanini usimuulize mgeni wako anakunywa soda gani kabla hujaenda kununua hiyo soda
mambo mengine kujitakia tu
[emoji32][emoji32][emoji32]Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako.... Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta mojaa kwa ajili ya mgeni na ile chupa ya sprite unaijaza maji ili ukirudi uweze kumpa kampani mgeni.....
Unafka sebuleni mgeni Anakwambiaa Fanta huwa situmii nipe hyo sprite...!!
Utafanya nini!!?!?
Nitamwambia kua hata mimi hua situmii Fanta,na ningekua najua toka mwanzo kua na wewe hutumii basi ningeleta soda zote mbili SpritePale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako.... Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta mojaa kwa ajili ya mgeni na ile chupa ya sprite unaijaza maji ili ukirudi uweze kumpa kampani mgeni.....
Unafka sebuleni mgeni Anakwambiaa Fanta huwa situmii nipe hyo sprite...!!
Utafanya nini!!?!?
Hapo ndio utakua umeharibu kila kitu Mkuu, maana Soda ikimwagika hutoa povu la kuchemka! Na hiyo iliyomwagika kwa kuvunjika kwa chupa itaonekana wazi tu kua ni Maji coz haitotoa povu la kuchemka!ππsimple sana naiangusha chupa yenye sprite uchwara ikivunjika namuambia kunywa hii fanta akigoma nakunywa mwenyewe
hahaha mkuu huyo sasa sio mgeni bali laboratory technicianHapo ndio utakua umeharibu kila kitu Mkuu, maana Soda ikimwagika hutoa povu la kuchemka! Na hiyo iliyomwagika kwa kuvunjika kwa chupa itaonekana wazi tu kua ni Maji coz haitotoa povu la kuchemka!ππ
unaamuaje kwenda kuchukua hela iliyobaki wakati mgeni unaweza kumkaribisha maji ya kunywa na stori zikaendeleaUnaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda