Unapofulia alafu mgeni anakutembelea, kama ni wewe utafanyaje?

Acha mawazo ya kimasikini. We believe utakua na hela nyingi..ukiamka asubuhi, unavaa, unaondoka akilini waza utapiga Bingo that day.

Trust me, mpaka unarudi ghettoni jioni lazima utakua nazo tu.
 
ha ha ha ha kweli dhiki tunajitakia tuu mgeni haji mpaka kuwe na soda?
 
kwanini usimuulize mgeni wako anakunywa soda gani kabla hujaenda kununua hiyo soda
mambo mengine kujitakia tu
Na hilo ndo la busara..huwezi ukakurupuka kununua kitu ambacho sio choice ya mgeni. Au kwanini asikimbie fasta dukani kwenda kubadilisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…