Unapogundua mwenza wako si muaminifu na amekumbukiza ugonjwa hatua gani utachukua?

Maamuz gani utachukua wakati una kibendi? We ni kuvaa barakoa na.kujifukiza tu huku ukinywa antibiotics.

Tuvumiliane jamani,.kipindi cha kubeba mimba ndio.kipindi ambacho watu wengi huonja kazi za nje sababu ya ugwadu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua ile panic/stress inaweza sababisha unafanya hata kitu cha hatari bila kujielewa.
Sasa nyie kama mnaenda kukitembeza nje huko si muwe mnatumia kinga basi kama unajijua una mke ndani, mnajiendekeza sana mnajua
 
Wanawake wanakuaga na visirani sana. Yaani mwanaume kuchepuka na kupata gonjwa ujue ndani ya nyumba yako kuna kitu hakipo sawa
 
Ujinga na ukatili, imagine mtu anamuambukiza mke wake mwisho wa siku wote wanaumwa wanabaki watoto wakiteseka

Ujinga aufanye mwenyewe lakini maumivu anaona ni sahihi myapate wote, hakika inaumiza sana. Mwingine anakuambukiza makusudi ili aseme wewe ndio chanzo na umemuambukiza pia na akijua fika hadi matibabu alishayaanza.
 
Sio fair kabisa
 
Maamuz gani utachukua wakati una kibendi? We ni kuvaa barakoa na.kujifukiza tu huku ukinywa antibiotics.

Tuvumiliane jamani,.kipindi cha kubeba mimba ndio.kipindi ambacho watu wengi huonja kazi za nje sababu ya ugwadu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani mke akiwa na mimba haipiti jomonii...??!😏
 
Kwanza utamshukuru mungu ajakuletea ukimwi,utamuita utamueleza najua Kama mwanamkee atakana katukatu,mtaenda hospital mtibiwe wote,then from hapo ntatumia condom nikitaka kujamiana naee....maana sio muaminifu Tena kwangu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Ingekua zile siku za kununua line ya simu kama karanga, ungenunua line uwandike ujumbe na maelezo yote kwa rafiki yako. Ukimaliza unaitupa line.
 
Condom kwa mke wako sasa utajiachia wapi?
 
But you must plan how to cross it beforehand, or else you will be too late then.
How can I estimate the deepth of the river?
I ain't an expert ....When I arrive at the river I'll know what to do....
 
Maisha ni kama chombo kisicho na kalio...

Yakinyyooka huku yanapinda huku, na yakipinda huku yananyooka huku.
 
Wachangiaji wengi wanawake, poleni sana.
 
Dah I can feel.....umeharibu future ya watu indirect na pasipokutegemea
 
lol b huko
Wengine wanakutesa kisaikolojia, hasa mkiwa na watoto. Ananunua chakula na mahitaji yote ya watoto. Kama nyumba ni kubwa anahama chumba, kampeni hizi nyumba zetu za msajiliwa majumba usiku anaweka godoro sebuleni.
 
Hivi hawa wanaume wanaoamini kuwa mwanamke ni wako peke yako ni wa sayari gani? Kuna mambo mengi ya kijinga nafanyaga lakini hili lakijiaminisha kuwa demu wangu hagegedwi siwezi fanya.
 
Hivi hawa wanaume wanaoamini kuwa mwanamke ni wako peke yako ni wa sayari gani? Kuna mambo mengi ya kijinga nafanyaga lakini hili lakijiaminisha kuwa demu wangu hagegedwi siwezi fanya.
Hongera zako bro.
Ukiwa na imani kama hii huwezi kuja kuachana na mke wako.
Wanaotengana kwa zaidi ya asilimia 90 sababu huwa ni kuchapiwa.

Huwa nawapenda Wamasai hata wakikuta rafiki yako amechomeka mshale anashugulika na mkeo, wao wanachukulia poa na maisha yanaendelea.

Wanaume tuna haja ya kujifunza na kubadilisha mitazamo yetu
 
Kuna kukosa uaminifu na kuna uzembe, Asiye muaminifu anaweza asikuue ila mzembe anaweza akakufanya hospitali ikawa ni pa kufikia / au kuwahisha safari yako ya kaburini...
 
How can I estimate the deepth of the river?
I ain't an expert ....When I arrive at the river I'll know what to do....
I see. Your expertise always comes at the ^very unluckliest^ moment. I guess you're so favored to have nobody as your noble supporter during your extremity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…