Unapogundua mwenza wako si muaminifu na amekumbukiza ugonjwa hatua gani utachukua?

Unapogundua mwenza wako si muaminifu na amekumbukiza ugonjwa hatua gani utachukua?

Kwakweli inaumiza sana, unajitunza vizuri kumbe mwenzako anahangaika ovyo nje anakuletea magonjwa.
Mtu unaweza kuchukua maamuzi magumu kwa hasira na uchungu wa kuumizwa
Hakika kabisaaah.
 
Kuna kipindi nilienda lll mkoani huko ,

Sasa Jiran nahome kuna kituo cha Afya..

Alikuwepo Nurse wakike, kaolewa

Yeye kila siku akawa anamuambia mumewe ,wamempangia zamu ya usiku

Siku zikaenda wee, Watu wakamtonya Mume wa Nurse kua mkeo anabanduliwa na Jamaa .

Anavyokuaga yupo kazin huwa hayupo.

Siku za mwizi 40 alisema JPM, jamaa siku hiyo akatonywa, akaamua kuja na mwanawe kuzuga km mwanawe anaumwa, kufika hapo, Mkewe hayupooo.

Jamaa akarudi home, baadae tena saba usiku akarudi , mkewe hayupoooo

Akaamua kurudi kulala, anakakuta kadem et ndio kamefika na vinguo vya kazin.

KUNA WATU WANAPIGA[emoji23][emoji23][emoji23]

DEMU ALIPIGWA KIPIGO,SIJAWWH ONA, ALIPIGWAAA

NYIE WATU, DEMU ALIPIGWA MPAKA AKAWA ANAUNGURUMA KAMA MBWA ANAYETAKA KUFAA,.PIGWA SANAAAAAAAAAAAAA .

Alivyopona, Jamaa likamuacha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol
 
Jah awe nasi waja wake na atuepushe kwa hili. Ameeeen
 
Hongera zako bro.
Ukiwa na imani kama hii huwezi kuja kuachana na mke wako.
Wanaotengana kwa zaidi ya asilimia 90 sababu huwa ni kuchapiwa.

Huwa nawapenda Wamasai hata wakikuta rafiki yako amechomeka mshale anashugulika na mkeo, wao wanachukulia poa na maisha yanaendelea.

Wanaume tuna haja ya kujifunza na kubadilisha mitazamo yetu
Mie kuna mrembo mmoja yeye alikuwa mkweli tuu aliniambiaga mzabzab kwanza papuchi haisuswi alafu pia yeye kugegedwa na mtu mwengine kupo tuu. Yule mrembo tulienjoy kinomaa yaani katika vitu nilivyothamini kwa huyo mrembo ni ile openess yake.

Wanaume inabidi tukubaliane na hali halisi kama vile sie tunavyogegeda huko nje na wake zetu wanagegedwa so just rwlax usije ukaua mtu bure. Mke ni binadamu kama wewe ana matamanio na kuna muda vishawishi vinamshinda.
 
kuna rafiki yangu alijiua ajili ya hii kitu, bt kwa upande wangu ikinipata nitachukua tahadhari za kiafya then mengine nitamuachia mungu maana dunia inachallenge nyingi sana hata usipougua utakutana na zingine ngumu zaidi.

Maisha ni safar ndefu
Lakin mahusiano ni chaka zito
 
Inaumiza sana ina katisha tamaa,inapunguza upendo na uaminifu na inaweza kupelekea hata ndoa kuvunjika ndo maana inabid kukumbushana kila siku kuishi kwa kulindana kama umeshindaa kuacha michepuko basi tumia kinga..period
Hizi habar za kuendekeza ngono zembe unajikuta unapeleka magonjwa kwenye familia una haribu amani ya familia na ndo mana wengine wanatoanaga roho...[emoji26]
 
Na kuna watu wengi hupata magonjwa kwa style hiyo, kuna wengine wakishagungua wamebeba maradhi nje huko hawawi wawazi kwa wenza wao wanaona ni bora waishi wote katika hali hiyo. Kwa kukusudia na kujua kabisa hali sio shwari kwake anaamua amfiche mwenza wake na mwsho wa siku anamuambukiza (huu ni ujinga uliokithiri).
Hii kitu Ni mbaya sana.
 
Maamuz gani utachukua wakati una kibendi? We ni kuvaa barakoa na.kujifukiza tu huku ukinywa antibiotics.

Tuvumiliane jamani,.kipindi cha kubeba mimba ndio.kipindi ambacho watu wengi huonja kazi za nje sababu ya ugwadu 😂😂😂
Kumbeee🤔🤔🤔
 
Kuna aliyeniambia mchukulie mwenza wako kama kito cha thamani, huwezi kuitupa pete yako ya dhahabu na tanzanite kisa imeanguka kwenye kinyesi. Niliyatafakari maneno yake lakini nemeona niwaletee wananzengo hii mada tuijadili.

Nimependa hii aya ya mwisho, nimchukulie mwenzangu Kama kito cha thamani kikidondokea kwenye kinyesi nitakiokota, kukisafisha na kuendelea kukitumia, naomba Mungu anipe moyo huu kwa mume wangu jamani😢,,

Huko kwingine hata sitamani kupajadili maana inauma jamani
 
Aliyeniambia hii sentensi na mama wa miaka 60 na amedumu kwenye ndoa kwa miaka 35 mpaka mume wake alipofariki. Ilinifanya nitafakari sana.
 
Unajua ile panic/stress inaweza sababisha unafanya hata kitu cha hatari bila kujielewa.
Sasa nyie kama mnaenda kukitembeza nje huko si muwe mnatumia kinga basi kama unajijua una mke ndani, mnajiendekeza sana mnajua
Hii ndio fallacy kubwa hapa duniani kuwa mwenza akichepuka atatumia kinga🤣🤣🤣🤣

Yaani mwenza atakae chepuka na kutumia kinga ni yule anayeenda kugegeda malaya.
 
Hii ndio fallacy kubwa hapa duniani kuwa mwenza akichepuka atatumia kinga🤣🤣🤣🤣

Yaani mwenza atakae chepuka na kutumia kinga ni yule anayeenda kugegeda malaya.
Mradi akumbuke kinga tu jamani, hata akienda gegeda jimama huko nje😀
 
Mradi akumbuke kinga tu jamani, hata akienda gegeda jimama huko nje😀
Hapo nikujifariji tuu maana tatizo kubwa linaanza na nyie wanawake....kwa experience yangu wanawake ni wwpesi sana kukubali kugegedwa bila kinga
 
Hapo nikujifariji tuu maana tatizo kubwa linaanza na nyie wanawake....kwa experience yangu wanawake ni wwpesi sana kukubali kugegedwa bila kinga
Kwa mwanamke anayejitambua na kujali afya yake hawezi ruhusu kuhatarisha maisha yake hivyo
 
Aliyeniambia hii sentensi na mama wa miaka 60 na amedumu kwenye ndoa kwa miaka 35 mpaka mume wake alipofariki. Ilinifanya nitafakari sana.
Ni sentensi yenye kutia moyo sana katika magumu na ukiiweka kichwani ukafall in love ukiwa nayo Basi lazima mfike mbali, imebeba maana kamili ya upendo wa agape
 
Kwa mwanamke anayejitambua na kujali afya yake hawezi ruhusu kuhatarisha maisha yake hivyo
Hamna mwanaume anayejitambua hapa duniani akishinda nguvu ya shetani....hapo utakuwa wajidanganya
 
Kwa mwanamke anayejitambua na kujali afya yake hawezi ruhusu kuhatarisha maisha yake hivyo
Hamna mwanaume anayejitambua hapa duniani akishinda nguvu ya shetani....hapo utakuwa wajidanganya
 
Back
Top Bottom