ukimchoka unaenda kwa kidumu unapunguza stress then unarudi kwako mambo yanakuwa sadwata!
ulishawi achika na ukaa kwa muda kama mwaka hujapata wa kueleweka?so kumbukia hicho kipindi nadhani ulimwona shehe Yahya wa maana pale channel 10mmmh marytina!!
hapooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo YES THERE U R????!!
????!!
????!!
Ahaaa ahaaa nitakufundisha somo litaanza utakapolipa adautanifundisha eeh!
Sio kila tatizo wewe unauchuna tu mengine yanaweza kukutokea puani ukiuchuna so inategemea tatizo na tatizounamaanisha ikitokea hivyo unauchuna?
Daftari na penseli nagawa bure darasa litaanza kesho saa moja asubuhiada nitalipa ila hela ya daftari na penseli sina.
According to facebook status updates, break ups happen mostly around spring breaks and the months leading up to Christmas.
Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa haidumu muda mrefu.
Katika hicho kipindi mpenzi wako hata afanye jambo zuri huwa unahisi anakuboa yaani humfurahii na ni kipindi hicho ambacho uhusiano ni rahisi kuvunjika iwapo mmoja hatakuwa imara kuusimamia na mara nyingi kipindi hicho mpango wa kando hutafutwa.
Nafikiri wadau wote humu tushawahi kuwa na wapenzi/tunao/tumeoa au tumeolewa.
Naombeni mawazo yenu hapo.
Je ulipohisi kumchoka mpenzi wako ulifanya?
LD unaenda ukirudi, unakuta mwenzio ndani, anakuuliza ww ni nani? nikusaidie nini?