Unapohisi umemchoka mpenzi wako.

Unapohisi umemchoka mpenzi wako.

ulishawi achika na ukaa kwa muda kama mwaka hujapata wa kueleweka?so kumbukia hicho kipindi nadhani ulimwona shehe Yahya wa maana pale channel 10

????!!
????!!
????!!
 
Nahisi kumchoka mpenzi wako kunatokana na kurudia matendo/mazingira hayo hayo kila siku. Inaweza kuepukwa kwa kubadilusha matendo/mazingira yetu.Sio lazima uende nje ya mji/ufukweni/safari. Mnaweza kutoka jioni au mwisho wa wiki na kutembea au kutembelea jamaa.

Unapogundua "mood" ya mwenzako imebadilika, jaribu kumridhisha kwa kutenda jambo jipya iwe chakula, mapenzi, mazungumzo, michezo ya mezani n.k.

Ukweli ni kuwa kila mtu ni peke yake kimawazo, kitabia, kwa hiyo hakuna ufumbuzi wa "cut-to-all-clothes", la kufanya ni kumsoma mwenzako anayopenda/asiyopenda na kujaribu kuielewa hiyo hali. Mara nyengine hata kimya kinaweza ufumbuzi, inategemea.
 
LD unaenda ukirudi, unakuta mwenzio ndani, anakuuliza ww ni nani? nikusaidie nini?
 
Sema ndo mpaka hiyo safari ieleweke ni safari ya jinsi gani, manake unawenza ukaliazisha lingine.

na kweli, badala ya kusolve tatizo unaweza jikuta unaliongeza. Lol!
 
Hapo kuna kitu umekiongea nadhani watu hawajakiona au hawajanyambua hiyo spring season.Naona kama kuna ukweli kidogo
According to facebook status updates, break ups happen mostly around spring breaks and the months leading up to Christmas.

chart-of-the-day-facebook-status-updates-2010.jpg
 
Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa haidumu muda mrefu.
Katika hicho kipindi mpenzi wako hata afanye jambo zuri huwa unahisi anakuboa yaani humfurahii na ni kipindi hicho ambacho uhusiano ni rahisi kuvunjika iwapo mmoja hatakuwa imara kuusimamia na mara nyingi kipindi hicho mpango wa kando hutafutwa.
Nafikiri wadau wote humu tushawahi kuwa na wapenzi/tunao/tumeoa au tumeolewa.
Naombeni mawazo yenu hapo.
Je ulipohisi kumchoka mpenzi wako ulifanya?

mpenz wngu amekua mtamu kias kwmba kumchoka n ndoto
 
LD unaenda ukirudi, unakuta mwenzio ndani, anakuuliza ww ni nani? nikusaidie nini?

Ha ha ha ha ha, umenichekesha suzy!!!!
Wanawake tulivyokuwa na..................

Uwiiiiiiiiii tuwage na uvumilivu tu kwa kweli!!!
 
Husninyo mimi hii khali naiona kabisa hv kumbe huu upepo hua unapita dah kweli inachanganya kweli ucpokua makini kweli mahucano ndo yanaishia hapo.kweli maisha ya mahusiano ni safari ndefu isiyo na mwisho.
 
Hii hali imekuwa ikitokea kwangu na wife mara kadhaa tena inadumu hata wiki mbili mwisho tunaelewana tu, ila si kuchokana bali kupishana lugha ktk maamuzi fulani... n.k, mimi nadhani wakati mwingine mmoja lazima ajishushe ili mambo yakae sawa
 
Back
Top Bottom