Unapoisemea timu yenye pointi sita

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Mashabiki wa timu fulani wanatia huruma wakiongozwa na memba mwenye namba tatu kwenye id yake.

Au ndio tuseme wameshajikatia tamaa na timu yao. Yani wameshupaza shingo kuisemea simba kisa bravo kampiga costantine.

Usitafute furaha kwenye timu isiyokuhusu sana mnajiaibisha.

Msifanye tukaamini kauli ya manara kwamba huko mpo wawili tu. Daima mbele mwiko nyuma.
 
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…