ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ukiishi mbali na nyumbani lazima utafikiria ni vipi utasolve ishu ya nauli endapo ikitokea dharura mfano msiba unaokutaka usafiri instantly kwa maana Akiba kuweka zimetushinda na huwez kuwa na hela siku zote wewe sio bank.
Kwa waliozaliwa Dar na kwao Dar na wanaishi Dar kwao umbali sio Changamoto, sisi wa mkoani Kutoka ulipo sasa mpaka kwenu ni km ngapi na nauli yake uwe na shingapi chap. Kwa mimi nina km 1150 na inahitajika zaidi ya 80,000/=