Haya Mambo ya misiba yanapaswa kuya taftia ufumbuzi kwani imekuwa ni kero kwelikweli
Fikiria kwa mfano mtu anakaa dar msiba unatokea rungwe mbeya
kutoka dar mpaka rungwe mbeya ni 80000/=kwenda na kurudi 160000/=na hapo ni kwa
mtu mmoja
bado hujawa shika mikono ndugu na jamaa ambao huja onana nao huko kijijini bado huja beba chochote Cha kufika nacho msibani bado mke,watoto, ukijumlisha ni pesa nyingi mno
ambayo ungeituma Inge saidia kununua sukari,sabuni,chumvi,chakura,na hata vinywaji pale msibani
na Cha ajabu unakuta mgonjwa kafa kwa kukosa dozi ya maralia
kuna mtu aliwahi kusema hivi,..
laiti Kama mgonjwa angetembelewa na idadi sawa na na idadi ya watu walio fika msibani after his/her death
Basi mgonjwa angepona bira dawa kwa faraja ambayo angeipata