stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Naitwa James ni mbobezi wa kuchora ramani za nyumba kwa miaka mingi
Leo nakushauri jambo kubwa na zito ambalo ukizingatia utajenga nyumba kwa ghalama naafuu
Kwanza kama unataka raman za nyumba nichek 0743 257 669 na hapo wa.me//255743257669 chagua raman yoyote uitakayo
Jambo lenyewe ni hili
Avoid unnecessary space
Yaani Epuka kuweka eneo lisilo na matumizi ndani ya nyumba
Unakuta mtu unaweka corridor mita 3 yanini hii?
Jiko unaweka fut 12 kwa futi 12 jaman jiko kubwa hv la kazi gani
Eneo la shoe rak, ioning ,
Verandah ,dressing room zote zina standard jitahidi umtumie mtaalamu akupe raman ambayo haitakupotezea pesa.
Ukiongeza eneo ambalo halitumiki ujue unaongeza gharama.
Nichek 0743 257 669 nikupe raman za kisasa