Unapojenga nyumba zingatia hili utaijenga kwa gharama ndogo

Bora nikutumie hela uanze kutujengea tu kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa kweli.
Mi design yangu ya nyumba nilichora mwenyewe.
Fundi anageuka ananiangalia namwambia sebule iwe mppk hapa.
Bafu mpk hapa
madirisha anzia kozi ya pili na baada ya linta nataka urefu huu wa ukuta kwenda juu!
milangio weka miwili ya main mmoja emergency door kutokea chumbani, ananitizama anishangaa.
Verandah ziwe kubwa 2 (moja juu nyingine chini) na moja ni private with only access from the main bedroom.hanielewi.
Oh kuongeza gharama, we bana nani kakwambia mi nataka kupunguza gharama?
Nahitaji ramani yenye mwonekano huo usinipangie mfuko wangu.
Hapo mfukoni sina mia mbovu! Af ujenzi wa CWT mwenyewe! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ eti nani kakuambia anataka kupunguza gharama
Usishangae kuna anaekula gengeni bado anataka apunguziwe wakati kuna mwingine ni bei ya chupa ndogo ya maji Marriott

Ila uko vizuri kwa sababu nakumbuka mother alikuwa anawaelekeza namna ya kuweka milango iwe wapi

Akasema huo mlango siutaki hapo maana mtu akisimama dukani anaona mpaka ndani
Kweli kina mama mko vizuri kwa planning
 
Korido kubwa, jiko kubwa, dining hall ndogo tubanane kama familia,
Chumba changu kikubwa kama sebule,

Hizo ndo sifa ambazo mchora ramani atapewa kabla hajaanza kazi ya nyumba yangu
 
Bora hata banda la kuku kuna vyoo vingine kama banda la njiwa, ukiina tako linakwazuzika ukutani ukichchuma goti lipo mlangoni sasa choo gani hicho. Babu ukinyanyua mkono kusugua kwapa unakwangua vidole na kikumbo ukutani shida yote ya nini! Nafasi muhimu.

Vyumbani sasa unakuta chumba ni kiduchu hata kutandika kitanda ni adhabu. Ndg mchora ramani waache wanaoitaji nafasi wajimwayemwaye sio nafasi yanini bwana.
 
Ndio ndio. mimi nyumba zote za mtaani zimegeukia wenyewe wanaita mbele, yangu niliweka kiubavu, mi nishindwe kukaa verandaya ya mbele ya nyumba yangu nikanywa chai ikashuka kisa kuonwa onwa na wapita njia!
Sio kweli!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] niko hotel nimejikuta nacheka kwa sauti
Halafu mtu anajisifu ana nyumba daa
Kweli watu tunatofautiana sana

Kibanda cha njiwa [emoji1787]
 
Kule kwenye uzi wako ulikotoa machozi ya malipo ya sh 300 shuleni kwa mtoto wako vipi umefutwa machozi?
Tupe ushauri sisi wazazi wenzio ili hiyo 300 japo ipungue.
 
wewe ni mchora ramani njaa..... ushauri wa kijinga.. nyioe ndio mnashauri watu vibaya, wanajenga ijumba mpaka wanakosa mahali pa kufunga kambaya kuanikia nguo...
Kuanika nguo sio lazima ni umaskini tu
 
πŸͺ–πŸ¦ΊπŸ”¨β›οΈπŸͺ–πŸ¦Ί

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

πŸͺ–πŸ¦Ί Shebwa Masonry Contractor πŸͺ–πŸ¦Ί
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
πŸͺ–. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
πŸͺ–. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
πŸͺ–. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
πŸͺ–. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
πŸ”¨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

πŸ”¨. Mafundi na Usimamizi wa kazi (Site forman) kwa uaminifu mkubwa

πŸ”¨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

πŸ”¨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Wengine wanajenga dinning room,
Wakati desturi Yao ni kulia chakula sebleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…