Huyo anakufuata kila mahali akii
Hapana sadaka namwachia Paroko, mi nachomoa hela za ujenzi pamoja na fungu la kumi...Uwe unakagua mifuko yake siku hizi anatoroka na sadaka.
Kabisaa babu. Utafungulia na majambazi bureeNa sio kila abishaye hufunguliwa
Mbona mi sikabi sana lakini?Huyo anakufuata kila mahali akii
Hapana, yaani muda wa wadaka chozi ninao wa kutosha.Huyo anakufuata kila mahali akii
Kila kona nakukuta unadaka choziMbona mi sikabi sana lakini?
Hongera sana auntieHapana, yaani muda wa wadaka chozi ninao wa kutosha.
OooiiiiiAiseee
Abeeeeeee"dada" Sakayo
woooiiiiii
HahahaKila kona nakukuta unadaka chozi
Ooooh...Hahaha
Huwa tunakutana tu,lakini siyo nakaba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaviiba
Una maoni gani juu ya lalamiko la mleta mada "dada" Sakayo?Abeeeeeee
Kaka mbalizi
HahahaOoooh...
Nikajua unakaba! Ila kukutana huko veeepeee
Haha hahaaa... Nimecheka sana japo si kwa kukudharau kwa yaliyokutokea bali kwa jnc ulivyoibukia wizi ambao hata haukudhamiria kuufanya lkn yote ni sababu ya maumivu ya rohoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo ndo hupenda kaka, na akili inaamuaUna maoni gani juu ya lalamiko la mleta mada "dada" Sakayo?
Huo kweli upendoHahaha
Katika kuzunguka huku jukwani tunajikuta tumekutana