Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Na wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.

NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
mwenye kisu kikali ndiye mla nyama
 
Mathayo 7:7 huwa naitumia ipasavyo

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Na wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.

NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
Kama kila unapoomba unapewa litakuuma je mkuu

God save us
 
Mkuu nilivyosoma heading nilijua unazungumzia kumwomba Mungu,kumbe ni upande wa pili
 
[emoji24][emoji4] Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora wewe viatu, mimi nilimnunulia chupi 7, tena nzuri kweli kweli yani ile ni mitoko kabisa, nakumbuka nilimvua moja tuu kati ya hizo saba, hizo nyingine kuna wahuni bado wanaendelea kumvua itakuwa
 
Back
Top Bottom